Charles Mtekateka JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 317 Reaction score 89 Apr 13, 2017 #1 BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio
BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio
L lingula70 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 4,053 Reaction score 1,966 Apr 13, 2017 #2 Charles Mtekateka said: BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio Click to expand... Safi.
Charles Mtekateka said: BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio Click to expand... Safi.
Charles Mandela JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 3,365 Reaction score 2,970 Apr 13, 2017 #3 Charles Mtekateka said: BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio Click to expand... Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Charles Mtekateka said: BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio Click to expand... Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
engine rock JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,389 Reaction score 1,418 Apr 13, 2017 #4 Safi sana ,haki lazima itendeke.
M makalango JF-Expert Member Joined Feb 10, 2017 Posts 462 Reaction score 259 Apr 13, 2017 #5 Mkemi nenda mahakamani na naskia una hamasisha timu zigome kucheza ligi kuu pole sana
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,522 Apr 13, 2017 #6 Safi sana ila TFF iandae utaratibu kama wa ulaya. Yaani kabla ya mechi kila timu inaeleza wachezaji wasiocheza na sababu za kutocheza ikiwemo waliopewa kadi za njano au nyekundu.
Safi sana ila TFF iandae utaratibu kama wa ulaya. Yaani kabla ya mechi kila timu inaeleza wachezaji wasiocheza na sababu za kutocheza ikiwemo waliopewa kadi za njano au nyekundu.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,907 Reaction score 28,079 Apr 13, 2017 #7 Inapendeza sana.. Simba chama kubwaa
Cicadulina JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 1,006 Reaction score 2,431 Apr 13, 2017 #8 Masunga Maziku said: Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea. Click to expand... mchezaji wa kagera alikuwa na kadi 3 za njano kwenye ligi.
Masunga Maziku said: Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea. Click to expand... mchezaji wa kagera alikuwa na kadi 3 za njano kwenye ligi.
B bibinnaa JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,500 Reaction score 1,379 Apr 13, 2017 #9 Masunga Maziku said: Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea. Click to expand... Maoni yako yanaheshimika.Pia kanuni na taratibu za mashindano zinaheshimika
Masunga Maziku said: Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea. Click to expand... Maoni yako yanaheshimika.Pia kanuni na taratibu za mashindano zinaheshimika
H huko kwenu vipi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,475 Apr 13, 2017 #10 Charles Mtekateka said: BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio Click to expand... KWELI????????????
Charles Mtekateka said: BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio Click to expand... KWELI????????????
M makalango JF-Expert Member Joined Feb 10, 2017 Posts 462 Reaction score 259 Apr 13, 2017 #11 Mkemi na mkwasa wakisikia hii wataanguka kwenye ndege
H huko kwenu vipi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,475 Apr 13, 2017 #12 bibinnaa said: Maoni yako yanaheshimika.Pia kanuni na taratibu za mashindano zinaheshimika Click to expand... Je ni kweli????? maana hii redio huwa siaminigi sana huwa inapotoshaga sana
bibinnaa said: Maoni yako yanaheshimika.Pia kanuni na taratibu za mashindano zinaheshimika Click to expand... Je ni kweli????? maana hii redio huwa siaminigi sana huwa inapotoshaga sana
H huko kwenu vipi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 1,540 Reaction score 1,475 Apr 13, 2017 #13 Cicadulina said: mchezaji wa kagera alikuwa na kadi 3 za njano kwenye ligi. Click to expand... Hii ni kweli?? au porojo tu
Cicadulina said: mchezaji wa kagera alikuwa na kadi 3 za njano kwenye ligi. Click to expand... Hii ni kweli?? au porojo tu
Ramadhan Rajabu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 578 Reaction score 1,105 Apr 13, 2017 #14 Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Apr 13, 2017 #15 Good kusikia hivi
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,666 Reaction score 6,742 Apr 13, 2017 #16 Viva simba! Semeni mkichoka mlale, simba mbele tu Ata serenget boys walipita kwa ushindi wa mezani
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Apr 13, 2017 #18 Sasa Yanga watusikie kwenye bomba
M makalango JF-Expert Member Joined Feb 10, 2017 Posts 462 Reaction score 259 Apr 13, 2017 #19 Naskia hii taarifa siyo za kweli ni uzushi
B bibinnaa JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,500 Reaction score 1,379 Apr 13, 2017 #20 Ramadhan Rajabu said: Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa Click to expand... Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.
Ramadhan Rajabu said: Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa Click to expand... Yote sawa tusubiri matokeo.Nionavyo Simba akipewa hizo pt 3...Yanga watazuwa balaa na wakinyimwa hizo pt 3 Simba watazuwa balaa.