Simb Hoyeee.......Yanga Ziii

:spy: HONGERA SANA MNYAMA MKALI KWA KUIMEZA KAMANDAMBILI KINYWANI MARA TANO (5) BILA (0) HURUMA:spy:
 
Huna adabu ................yanga wamechukua ubingwa mara 21 dhidi ya simba mara 17, huku ni kuachiana tu...!!
 
Huna adabu ................yanga wamechukua ubingwa mara 21 dhidi ya simba mara 17, huku ni kuachiana tu...!!

Kuachiana nini? zungumzia mkono uliopigwa jana kudadeki... yale sita ya mwaka 77 hamjarudisha, mmeongezewa mengine. Mna bahati jana, mngeigwa wiki jana nyie...
 
Umetumwa na mabwana zako ehh.
 
Huna adabu ................yanga wamechukua ubingwa mara 21 dhidi ya simba mara 17, huku ni kuachiana tu...!!
Huna kumbukumbu mkuu, Simba imechukua mara 18, :second:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…