Naamin mm(sina uhakika) Naibu waziri anapewa walinz, yy bastola na SMG/ AK 47 ya nn? sasa hii itafanya watu waanze kuhisi huyu jamaa ana kazi ingine tofauti na ya N/W. Manake kuna kauli aliitoa ya ajabu sana wakati anasikitika kuwa wamebeba pesa ,compt, sim pete na mabegi. akidai wamecha hizo silaha wakati ni MTAJI WA MAISHA, kana kwamba anawashangaa kuiba begi badala ya kuondoka na silaha.
Vile vile kauli yake inaonyesha kuwa yy anaamini kuwa huyo mwizi wake hajui thamani ya zile silaha na kazi zake (UJAMBAZI) akilinganisha na hivyo vitu alivyochukua.
"huu ni mtazamo wangu tu"