Sikutegemea huyu mdada?

Mkuu ulifanya makosa sana kulazimisha upewe penzi, usirudie tena siku nyingine, mwanamke anashawishiwa na sio kumlazimisha... Pia shukuru mungu ulikataliwa maana umeepushwa na mengi huwezi jua labda alikuwa na maradhi kwa kuwa anakupenda hakutaka kukuambukiza sasa ww ungelazimisha ungeweza kujitafutia matatizo mengine... Mwanamke anapo sema HAPANA ana maanisha vi2 vingi sana.
 
Hapa nimejifunza kitu si kila mwanamke anapokukatailia basi ujue hakupendi kumbea anaweza kuwa anakuepusha na magonjwa!
 

unamatatizo wewe si bure
 
Duh we kweli kiboko siku tatu bila kuona ndani hujakua kabisa aaahhh au ulitaka tu kuzamisha hiyo nanihino bila hata kumpa romance kidogo? Unabembeleza mwenyewe anaingia line si kulazimisha wewe. Ila pole mie sijawahi ona mwanaume kama wewe unahitaji pongezi nyingi sana
 
Ulizani kila demu mserereko ehhh...
Wengine vigingi
 

Achana nae kabisa mpotezee hao wako wengi na ndio zao wanajaribu kutupimia wakati wenzao wanatumwagia,mpotezee kabisa kwanza nashangaa ulilalaje nae bila kukubaliana kuhusu Game mimi siwezi lazima akubali kugemuka na mimi ndio alale kama no gama basi angeenda kulala gest na kesho yake arudi kwao ,nimfanyie na shopping kwani yeye dada yangu acheni ulimbukeni we mwenyewe unakaa chumba kimoja halafu una jipa hasara bila hata malipo kiduchu ,kwangu no ulichemka brother;
 

nakubaliana na wewe in its totality
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…