Vice versa Kwa kiumen kuchukua demu kidato cha mbele unaonekana jembe haswa...Wakati tuko sekondari ilikuwa fedheha sana mtu kutoka na mkaka wa kidato cha nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati tuko sekondari ilikuwa fedheha sana mtu kutoka na mkaka wa kidato cha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] duuh alikuwa na roho ngumu, form four?Vice versa Kwa kiumen kuchukua demu kidato cha mbele unaonekana jembe haswa...
Nakumbuka nikiwa f4 nlikua na date na f6 leaver anaesubir kwenda chuo nlimega mega kisela lkn alipoanza chuo tu (ushirika moshi) nkapotezewa mazima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwa na mchumba shule [emoji14][emoji14][emoji14]Wa kwako alikuwa kakuzidi vidato vingapi? [emoji41]
Mungu mwenyewe haaminiki nitakuwa mimi [emoji14][emoji14]Hahahahaha weye!? Siamini hata chembe [emoji12]
[emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Haikuchukua muda,nikaopoa mzigo wa form 4.Wakati tuko sekondari ilikuwa fedheha sana mtu kutoka na mkaka wa kidato cha nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
YaNi ulikuwa form two ukachukua form four duuh[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Haikuchukua muda,nikaopoa mzigo wa form 4.
Ukamkuta hayupo!! Kiswahili kajifunze kiswahili ndo uje na hekaya zako za abunuasiSalaaam
Enzi hizoo,nipo kidato kinachofuata baada ya "njuka",nilikuwa nina videm viwili vitatu nasoma navyo kidato kimoja.Mzee baba ndo nilikuwa naponea kidizain + chaputa (oyeeeeee).
Sasa siku moja nimeenda zangu kwa bro wangu mmoja hivi,kumpa hi."Nikamkuta hayupo".Nafika tuu,kumbe alikuwa ametoka dakika kama 20 nyuma.Ila alikuwepo mdogo wa mke wa kaka,amekuja kuwatembelea.
Kipindi hicho,age inasoma 15,af huyo mdogo wa shem,ana 27!!!Nikazama ndani,baada ya stori za hapa na paleeee,ohoooooooooooooooooooooooooooo!!!!Akaanzisha stor za mambo yetu yaleee.Mwisho wa siku,kifuatacho ITV kikatokea.Aiseee,ile show,niliyoipata,ndo nikaamini ukubwa dawaaaa.
Tangu siku hiyoo,ndo nikaamini ukubwa dawa.Nikaanza ruti za kupiga misele kwa vidato vya mbele mbele.Nikawasahau kabisaa kidato sawa wenzanguu.Mpaka nafika kidato cha nekta,ndo nikaanza kuwakodolea macho tena.
View attachment 1034328