EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Acha kabisa mkuu, huwezi kukosa kakisa flani cha utotoni
Wizi ulikuwa utotoni tu na chanjo sichomi ng'oKumbe wizi umeanzia utotoni. Subiri chanjo Sasa uibe tena!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa chizi sanaWeka mbali na watoto.
Kuna ndugu yangu aliniona nina mavuzi akatamani naye ayapate nikamwambia weka upupu yataota muda si mwingi. Akaweka.
Aliteseka sana ila hakulia maana nilimwambia ukilia tu dawa itagoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka mbali na watoto.
Kuna ndugu yangu aliniona nina mavuzi akatamani naye ayapate nikamwambia weka upupu yataota muda si mwingi. Akaweka.
Aliteseka sana ila hakulia maana nilimwambia ukilia tu dawa itagoma
Miwa ya karibu na shule ilipata tabu sana.Haki tulikua tunang'oa miwa halafu maganda tunatoa na meno hamna kisu wala nini [emoji2][emoji2], hatujahamia kwa vibungo na ndizi pori/furu na mazagazaga ya porini ..
lakini ukitukuta Four point by Sheraton unaweza dhani tumezaliwa Uingereza
[emoji23][emoji23][emoji23]Weka mbali na watoto.
Kuna ndugu yangu aliniona nina mavuzi akatamani naye ayapate nikamwambia weka upupu yataota muda si mwingi. Akaweka.
Aliteseka sana ila hakulia maana nilimwambia ukilia tu dawa itagoma
Ila siku hizi wakiambiwa watafune miwa njiani wanajifanya mabishoo kumbe imewakuza.πππMiwa ya karibu na shule ilipata tabu sana.
Kisu kitoke wapi shuleni
Kuna mambo unafanya kulingana na mazingira na umri na personality yako kwa wakati huo sio ubishooIla siku hizi wakiambiwa watafune miwa njiani wanajifanya mabishoo kumbe imewakuza.πππ
Duh!!Huo upupu unaliwa kama mboga huko kusini
Ukioa mke mrembo uwe na hela ya kutoshaa tu ila ukiwa kapuku na ubishoo wanakukazia vizuri tuSomo.kuoa mke mrembo sawa na kulima miwa karibu na shule ataliwa tu
Sasa mimi huwa nanunua muwa njiani wenye urefu kama mita moja na nusu halafu nautafuna huku natembea.Kiu ikinishika naomba maji kwa majirani!Ndoho gogoro!πππππKuna mambo unafanya kulingana na mazingira na umri na personality yako kwa wakati huo sio ubishoo
Mkuu umetisha sana,Sasa mimi huwa nanunua muwa njiani wenye urefu kama mita moja na nusu halafu nautafuna huku natembea.Kiu ikinishika naomba maji kwa majirani!Ndoho gogoro!πππππ
Bado hujakamata hela,ukizikamata maji ya jirani utaona yana sumu au uchawi,kula muwa njiani utaona ni muujizaSasa mimi huwa nanunua muwa njiani wenye urefu kama mita moja na nusu halafu nautafuna huku natembea.Kiu ikinishika naomba maji kwa majirani!Ndoho gogoro!πππππ