V V I P New Member Joined Aug 31, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Sep 6, 2013 #21 Huku heshima inapaswa kutangulizwa , pia ni lazima kufuata sheria za kimila kama kununua mbuzi kwa ajili ya shemeji zako, vitenge n.k
Huku heshima inapaswa kutangulizwa , pia ni lazima kufuata sheria za kimila kama kununua mbuzi kwa ajili ya shemeji zako, vitenge n.k
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Sep 6, 2013 #22 watu wanaopenda kugeneralise tabia Kha!!!! ukute mtu kakulia uzaramoni huku halafu unamjudge kisa tabia!!!!!!
watu wanaopenda kugeneralise tabia Kha!!!! ukute mtu kakulia uzaramoni huku halafu unamjudge kisa tabia!!!!!!