Hivi wanyambo ni wenyeji wa mkoa upi?Siwaelewi kabisa.
Makubwa hayaHao ki asili ni wanyarwanda, tabia yao kuu ni kuhakikisha wanazaa na wanyaru wenzao, wewe utakuwa baba boya, baba wa kusingiziwa mtoto, lakini ni lazima awekwe mimba na mnyaru mwenzake, tena anaweza akaja kwako akijitambulisha ni ndugu yake kumbe lengo ni moja tu, damu yao isipotee kabisa.
Nimeingia kwenye mahusiano na mdada mmoja kama mwaka hivi nampenda sana, mwezi wa kumi na mbili naenda kujitambulisha kwao nataka nimuoe.
Sasa nataka ushauri wenu kama kuna mtu katokea huko au anawajua vizuri ,huyu mpenzi wangu nahisi kuna mambo hawezi kuniambia.
Nataka kujua sifa za hili kabila.
Hebu acha ku 'Generalize' kila mtu ni mpekee. Wewe nenda kwa rafiki, jirani, ndugu na jamaa wa huyo mtarajiwa ukapate data zake huko sio kuuliza tabia za kabila lake