Kuna wenye mwili tu. Unakuta ana mwili mkubwa sexy body yani. Kila kitu kiko sawa mahala pake sema portion kubwa. Ila kuna wale wanene yani extra part mzee. Akinyoosha mkono kuna nyama flani ivi kama kilo tatu inaninginia kwanzia usawa wa kwapa mpaka kwenye kiwiko cha mkono.
Kwenye mbavu ana kama 4 pack ivi sema ni manyama
.
Akivaa suruali anachomekea tumbo kama shati