sifa za play boy

manka81

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
69
Reaction score
34
[h=5]SIFA ZA PLAYBOY WA Bbm

1.Upenda kuigiza maisha(kujifnya wa kishua)
2.Uwa ana swagger ya kimbiea eyo eyo nyingi
3.Ujifanya ame xoma udsm,CBE,UDM Kumbe ata st.kufeli Ajafika
4.Swager za ku Ping me Pic yupo Mlimani,kwa xana kumbe mtoto wa mtogore

Ni hayo una weza ongezea[/h]
 
Join Date : 13th October 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Akiwa na demu waka halafu ikipita gari ya kifahari kama Benz au Shangingi yeye hukimbilia mafichoni fasta.Baadae akiulizwa na demu wake kwanini alijificha yeye husingizia kuwa alikua dingi yake anapita hivyo hakutaka amuone.
 
Anakuwa hayuko huru na mpenzi wake, akikutana na watu hapendi wajue kama ni mpenzi wake mana wakijua anaona itamuwia ngumu atakapokuwa na mwingine,mara nyingi huwa hatambulishi demu wake watu wakamjua mana anakuwa nao wengi!
 
Mnahangaika buree. Pamoja na kupeana hizo tahadhari kila siku lakini ndiyo hao hao mnaangukia kwao.
Kwani playboy wameanza kuwepo leo!!
 
Akiwa na demu waka halafu ikipita gari ya kifahari kama Benz au Shangingi yeye hukimbilia mafichoni fasta.Baadae akiulizwa na demu wake kwanini alijificha yeye husingizia kuwa alikua dingi yake anapita hivyo hakutaka amuone.
Hah aha haha
 
Hah aha haha mademu nao wanaamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…