N NIVAN NELLY Member Joined Sep 26, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Oct 2, 2015 #1 siasa za kisasa zimebadilika sana na kua za kurushiana matusi na vijembe kwenye majukwaa mara pushapu mara afya, sasa sijui tutafika wapi,, viva Tanzania viva
siasa za kisasa zimebadilika sana na kua za kurushiana matusi na vijembe kwenye majukwaa mara pushapu mara afya, sasa sijui tutafika wapi,, viva Tanzania viva