teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Feb 27, 2013 #1 Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Feb 27, 2013 #2 teac kapex said: Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private Click to expand... NJOO ITENDE HIGH SCHOOL, MBEYA MJINI; HGL, HKL, HGE & HGK! fomu 10,000/= ADA 400,000 KWA MWAKA+BWENI 500,000/= JUMLA 900,000/= TUCHECK, 0754734009
teac kapex said: Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private Click to expand... NJOO ITENDE HIGH SCHOOL, MBEYA MJINI; HGL, HKL, HGE & HGK! fomu 10,000/= ADA 400,000 KWA MWAKA+BWENI 500,000/= JUMLA 900,000/= TUCHECK, 0754734009
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Feb 27, 2013 #3 teac kapex said: Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private Click to expand... nzuri kwa kombi gani?
teac kapex said: Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private Click to expand... nzuri kwa kombi gani?
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 Feb 27, 2013 #4 teac kapex said: Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private Click to expand... nzuri kwa vigezo vipi?nzuri ya wasichana pekee,nzuri ya wavulana pekee au nzuri ya mchanganyiko?lakini pia kwa mchepuo gani?
teac kapex said: Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private Click to expand... nzuri kwa vigezo vipi?nzuri ya wasichana pekee,nzuri ya wavulana pekee au nzuri ya mchanganyiko?lakini pia kwa mchepuo gani?
teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Feb 28, 2013 Thread starter #5 Shule iwe ya bweni na iwe ya wavulana kama hakuna basi iwe mchanganyiko iwe na masomo ya sayansi
Geofrey_GAMS JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 496 Reaction score 229 Feb 28, 2013 #6 teac kapex said: Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private Click to expand... mm naamini shule nzuri ni kichwa cha mtoto mwenyewe ila ukitaka uwe na uhakika kuwa mwanao atafaulu mpeleke Feza Boyz au Marian Girls kama ni msichana otherwise ni yy mwenyewe ila kiukwel shule co kgezo xana kgezo ni bidii ya mwanafunzi
teac kapex said: Jamani namtafutia mwanangu shule nzuri ya kidato cha tano na sita shule iwe ya private Click to expand... mm naamini shule nzuri ni kichwa cha mtoto mwenyewe ila ukitaka uwe na uhakika kuwa mwanao atafaulu mpeleke Feza Boyz au Marian Girls kama ni msichana otherwise ni yy mwenyewe ila kiukwel shule co kgezo xana kgezo ni bidii ya mwanafunzi