Mwizukulu jilala JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 1,094 Reaction score 942 Sep 21, 2017 #1 Wanachama wa jukwaa hili leo nimependa kushea na nyinyi kuhusu ishu za shule, kwamba unapojikita zaidi kutafuta elimu ndipo unapoona zaidi elimu nyingine ambayo ni nzuri zaidi ya ile uliyoanza nayo.
Wanachama wa jukwaa hili leo nimependa kushea na nyinyi kuhusu ishu za shule, kwamba unapojikita zaidi kutafuta elimu ndipo unapoona zaidi elimu nyingine ambayo ni nzuri zaidi ya ile uliyoanza nayo.
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,921 Sep 21, 2017 #2 NI KWELI KABISA MKUU
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,758 Reaction score 197,428 Sep 21, 2017 #3 Shule ina kikomo... sema kujifunza hakuna mwisho... cc: mahondaw
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Sep 21, 2017 #4 Sawa mkuu