Habari za mda huu wana jamvi samahani naulizia ni shule gan nzuri za primary English medium singida. Nimepata uhamisho huko na maisha kiujumla nataka kufahamu. Asanteni sana.
Abert iko maeneo ya masai ina kindergarten hadi kidato cha nne, nyingine ni Lake schools iko maeneo ya Manguanjuki karibu na lile ziwa kama unaenda Mwanza.
.
Nayo ina kindergarten hadi kidato cha sita

Ni makubwa sanaa hasa lile la Singidani limeenda mbali sana malambo hayako vile alafu niliona uvunaji wa chumvi na uvuvi unafanyika pale halina tofauti na ziwa manyara
Inawezekana ila sio karibu sanaa kuna eneo linaitwa Airport ndio kuna nyumba nzuri na liko karibu na hiyo Abert ila ni lazima awe anaenda na bus la shule