Jipatie shuka 2 na foronya 4 ambazo shuka 1 inakuwa plane haina maua na foronya 2 ambazo ni plane,shuka nyingine inakuwa ina maua na foronya 2 zenye maua.zipo ambazo zina maua zote na foronya zake 4.ukihitaji unaletewa popote ulipo kwa dar na pia tuna tuma kwa wateja wa mikoani
Bei ni 60000
Contact:0717388265