pettymarcel JF-Expert Member Jun 17, 2012 2,161 880 Apr 22, 2017 #21 chige said: Sina hakika kama Diamond bado atakuwepo au vipi lakini ile show haikuwa kiki! Umeona kimya kwa sababu imesogezwa mbele hadi September!!! Click to expand... Bora umweleze tu maana kuna mijitu inawivu wa Maendeleo
chige said: Sina hakika kama Diamond bado atakuwepo au vipi lakini ile show haikuwa kiki! Umeona kimya kwa sababu imesogezwa mbele hadi September!!! Click to expand... Bora umweleze tu maana kuna mijitu inawivu wa Maendeleo
pettymarcel JF-Expert Member Jun 17, 2012 2,161 880 Apr 22, 2017 #22 trey007 said: sas ushauri wako ni nini kwa sie tunaothamini vya kwetu!!!!? Click to expand... Swali zuri akikujibu naomba uniite
trey007 said: sas ushauri wako ni nini kwa sie tunaothamini vya kwetu!!!!? Click to expand... Swali zuri akikujibu naomba uniite
mzaramo JF-Expert Member Sep 4, 2006 6,371 5,174 Apr 22, 2017 #23 mfamaji haishi kutapa tapa. jamaa mwisho wake umefika vibaya mno.