R Richardbr Senior Member Joined May 29, 2011 Posts 110 Reaction score 27 Aug 7, 2014 #1 Wadau hapa mjini kuna kila namna ya utapeli hivyo kwa wale wenye uhakika na hich kitu au hawa jamaa wanaojitambulisha kama hisa tanzania tumegeeni na sisi kidogo,hii chini ndo adress yao. http://www.hisa-tanzania.wapka.mobi/
Wadau hapa mjini kuna kila namna ya utapeli hivyo kwa wale wenye uhakika na hich kitu au hawa jamaa wanaojitambulisha kama hisa tanzania tumegeeni na sisi kidogo,hii chini ndo adress yao. http://www.hisa-tanzania.wapka.mobi/
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,772 Aug 7, 2014 #2 epuka matapeli oooooh
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,059 Reaction score 10,519 Aug 7, 2014 #3 Ulizia Serikali za mtaa kama wanatambulika. kama kuna number zao basi peleka polisi upesssss