Japo sishabikii ze bluuz lakini kwa mchezo wa juzi nilivyouona. Lolote laweza kutokea kule london.
Iwapo Cavan ataendelea kutokua makini ktk mechi ijayo basi huyu ndiyo anaweza kusababisha kutokua na muungano wa washambuliaji wa PSG.
Dakika 30 za kipindi cha kwanza na dakika 15 za kipindi cha pili zitakua muhimu sana kwa timu hizi.
Lakini muhimu zaidi kwa ze bluuz.