Wewe una hofu tu isiyokuwa na mashiko. Hayo ni makampuni yameingia ubia tu kwa maana hiyo kampuni lililo waajiri bado lipo kwa kusaidiana na hili jipya.
Hata hivyo kwenye vikao vyenu mnaweza kuuliza na kupewa ufafanuzi wa kuhakikishiwa usalama wa haki zenu.