Mkuu kuna vitambi vya umaskini,unavijua?binadamu tungekuwa tunakula pale tunapopata njaa tuu nadhana hakuna ambaye angekuwa na kitambii, magonjwa ya moyo na mambo ya kisukari yangepungua
Mkuu kuna vitambi vya umaskini,unavijua?
binadamu tungekuwa tunakula pale tunapopata njaa tuu nadhana hakuna ambaye angekuwa na kitambii, magonjwa ya moyo na mambo ya kisukari yangepungua
hata bila kuwa mfisadi lakini wanadamu tunajua kujipendelea mtu akipata hela kidogo tuu lazima ahakikishe mambo ya mlo mchana ni draft yaani kawali na nyama mchuzi pembeni, kamchicha, kajuice alafu sahani zote zimejazwa mpaka juu alafu zinashuswa zote. alafu anaongeza eti dessert mambo ya ice cream au ka keki. kwa mpango huu si unajitakia kuwa doli la micheliniUmesahau UFISADI mtu wangu