Sherehe za mei mosi

busamwa

Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
20
Reaction score
1
Rais jk ameongoza sherehe za meimos kitaifa kule mwanza na pia dk shein ameongoza kitaifa kule zanzibar. Kwakweli ninebak na utata kuhusu hili taifa nisaidieni wana jf
 
Namshukuru JK ameahidi kuongeza kima cha chini cha mshahara na kupunguza kodi kwa watumishi wa umma!
 
Taifa linahitaji mabadiliko halaka iwezekanavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…