Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 734
- 2,272
Wenzako wanachofurahia ni kandanda safi uwanjani ,Pasi za kueleweka yaani mpira burudani na FurahaNao waache sifa sifa sasa wapige zoezi wasitupoteze maboya ya kupigwa 3
Tupo na Al ahly ya Simba yashapita wao wapo busy na supu
Ulimbukeni aisee
AaahaaaaWenzako wanachofurahia ni kandanda safi uwanjani ,Pasi za kueleweka yaani mpira burudani na Furaha
Yanga walishahama kutoka kwenye mpira papatu papatu na kufurahia ushindi wa kubahatisha
Wao wanafuraha ya mioyoni hata sura zao unaona wakiwa wanaangalia mpira wanatabasamu
Hao Yanga hata wakifungwa na Al ahly na hata wakatolewa lakini malengo yao yametimia ,Lengo lao ilikuwa kufika makundi na kandanda safi isiyoumiza mioyo ya mashabiki
Lengo lao sio kuwashinda Al ahly bali kuwaonyesha kandanda safi na burudani ya mioyo
Baada ya kuwaonyesha CR belouzidad kandanda Safi na kuwaacha wakihaha nyumbani kwao
Kwa ushahidi Angalia yule mchezaji wa Simba kaanza kuweka nywele rangi awe kama Pacome wa Yanga lakini bado anacheza mpira papatu papatu mpira bahatisha
Hizo ni kafara za damu,endeleeni tu na ibada zenu za kichawi.Leo tarehe 27/11/2023 Serikali ya Zanzibar chini ya Rais mwinyi wamekubali kutoa udhamini kwa yanga kupitia taasisi yake ya mapato yaani zanzibar revenue authirity (ZRA) pamoja na ZIPA(Zanzibar investment and promotion agency).
Wawakilishi wa ZRA na ZIPA wameishukuru club ya Yanga kwa kuonyesha burudani na kandanada safi isiyoumiza moyo.
Aidha, Engineer Hersi ametumia ghafla hiyo kutangaza rasmi siku ya Bacca Day.
Sherehe kubwa zinaendelea Zanzibar baada ya Yanga kuwakanda Simba kiganja cha mkono tarehe 05 November
Engineer Hersi akabidhi ng'ombe kwa mashabiki wa Yanga zanzibar tayari kwa kunywa supu
Matukio haya yameambatana na timu ya Yanga kushiriki katika hafla iliyoandaliwa na serikali ya zanzibar
Kuelekea nyumbani kwa Ibrahim Bacca mamia kwa maelefu ya mashabiki wa Yanga wameambatana kwenda kufurahi pamoja nyumbani kwa ibrahim Bacca
NB;Huu ni mwendelezo wa kuwaharibu wana simba kisaikolojia mpaka sasa wana simba wengi wana matatizo ya afya ya akili imefikia hatua wanataka hata muwekezaji wao bwana Mo Dewji anayetoa mabilioni ya pesa afukuzwe ili timu ianze kupitisha bakuli la kuchangisha mia mia
Mashabiki wengine wa simba wamefikia hatua ya kutaka kupiga mawe basi la wachezaji
Mashabiki wengine simba wamefikia hatua ya kulia ovyo na kuongea ongea barabarani na kujijibu wenyewe wakiwa wanatembea