Nilichomwambia ni kwamba wanawake tumewazidi idada wanaume so soon tutaacha kuwatesa mnapotufukuzia na hasa tunaposhtuka umri umesogea na hatuna familia.
Nachomaanisha unawakosesha wenzako usingiz.
Wapo wanaoamin hicho unachokisema hakina effect. Yaan men being outnumbered by women wont affect the latter.