Hello everyone.Nimekua nikitembea masokoni nikitafta shayiri lakini nimekosa.Watu wengi wanaouza nafaka kwanza hawaijui kwa hapa Dar na hunipa ngano.Ni wapi ntaweza kupata shayiri.Nataka ya kuchanganya kwa chakula ya mifugo na pia kujitengezea beer mwenyewe.thanks