Habari zenu wana jamii natumai mko poa .nauza shamba lipo Arusha chini ya moshono maeneo ya mlangarini .shamba hilo lipo barabarani umeme maji vyote vipo Na ni shamba LA eka mbili being ni million 75 hakuna Dalali .nitafute kwa 0759925314 au 0714858167