Jana nimenunua ekari saba kimanzi chana kwa Tsh 3.5 million. Shamba lina sifa zote ulizotaja hapo juu.
tutakufa masikini kwa kudanganywa na madalaliHabari! Ni eneo la ekari 36 lililopo Kimanzichana karibu na barabar na linamichungwa,mikorosho na minazi bei ni ml.700
kimanzi chana ipo wilaya ya mkuranga. Kwa bahati mbaya siwezi kukuelekeza in terms of kilometres but ukitoka city centre ni mwaendo wa dk 45 hadi lisaa limoja.Ndio Tanzania yetu inapoelekea mkuu kwenye ardhi.Ukiuliza utaambiwa mjuaji sana.Anyways,embu nisaidie hii kimanzichana ipo wapi? Na ni umbali gani kutoka city centre kwa kukadiria? Natanguliza shukurani
kimanzi chana ipo wilaya ya mkuranga. Kwa bahati mbaya siwezi kukuelekeza in terms of kilometres but ukitoka city centre ni mwaendo wa dk 45 hadi lisaa limoja.