N nic lg Member Joined Jan 16, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Feb 12, 2014 #1 Shamba linauzwa lipo morogoro dakawa barabara kuu ya kwenda dodoma ni mitaa 600 toka barabarani.Ekar 1000,lina mifugo na miti asili ng'ombe 150. mbuzi na kondoo 170.linauzwa pamoja na mifugo yake lina title ded.kwa mawasiliano 0686000442
Shamba linauzwa lipo morogoro dakawa barabara kuu ya kwenda dodoma ni mitaa 600 toka barabarani.Ekar 1000,lina mifugo na miti asili ng'ombe 150. mbuzi na kondoo 170.linauzwa pamoja na mifugo yake lina title ded.kwa mawasiliano 0686000442
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Feb 12, 2014 #2 hilo shamba lina mto karibu au chanzo chochote cha maji? hiyo mifugo ni breed gani? Shamba limewahi kulimwa? Inbox bei ya kuanzia tujipime mkuu nic lg Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
hilo shamba lina mto karibu au chanzo chochote cha maji? hiyo mifugo ni breed gani? Shamba limewahi kulimwa? Inbox bei ya kuanzia tujipime mkuu nic lg