Ahsante Mkuu wangu kwa kunigundua,
Ukweli niko na interest na hizi. Yule jamaa wa Mkuranga hauzi yule, bora nimempata huyu anaeuza, amefafanua bei kua ni Zote 4 zinauzwa kwa Tshs 5mil, ni reasonable hii bei.
Ngoja nichakarike wikiend hii nimalizane nae!!