Shamba linauzwa Morogoro

jwille

Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
32
Reaction score
29
Kunashamba linauzwa maeneo ya Morogoro njia ya kuelekea Dodoma baada ya mizani ya kihonda.
Shamba lipo mita chache baadabya reserve ya barabara ya Moro to Dodoma.Eneo ambapo shamba linapatikana ni kijiji cha Makunganya.
Shamba linaukubwa wa hekali 5.linafaa sana kwa biashar, makazi au uwekezaji wa kituo cha mafuta.
Pia shamba lingine lipo Bagamoyo njia ya kuelekea msata.hekali 4
 
Morogoro ni 15M na Bagamoyo ni 10M
 
Kwa anaitaji wasiliana nami 0714951721
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…