82,000,000. Ekari 5.5. Lina hati? Kwa nini bei ni kubwa namna hiyo mkuu? Mimi natafuta ekari tatu...Shamba Lina Ukubwa Wa Ekari Tano Na Nusu.
Lipo Msata Mita Chache Kutoka Barabara Iendayo Tanga Na Pia Mita Chache Kutoka Barabara Iendayo Bagamoyo. Ni Eneo Zuri Hasa Kwa Wenye Lengo La Uwekezaji Mdogo Au Makazi.
Bei Ni Milioni Themanini Na Mbili, Ila Milango Ya Maelewano Bado Haijafungwa.
For Those Who Are Interested, Pm Me.
Haya mkuu. Good luck. Pengine hiyo ardhi ina madiniNdio Maana Nikasema Milango Ya Maongezi Ipo Wazi.
Hili Linatakiwa Liende Zimazima Mkuu.
Lipo Shamba kiwangwa bagamoyo ekari moja 1M.Njoo pm Hamna udalali82,000,000. Ekari 5.5. Lina hati? Kwa nini bei ni kubwa namna hiyo mkuu? Mimi natafuta ekari tatu...
Kuna uloziMsata??? 5 ekari kwa 82M??!!!! Wakuu tujulisheni Msata kuna fursa zipi mpaka shamba likauzwa kwa bei hiyo??