B badspender1 Member Joined Apr 22, 2014 Posts 74 Reaction score 6 Feb 13, 2016 #1 Shamba linauzwa lipo katika Kijiji cha Mtakuja-Kiwangwa. Lina ukubwa wa Ekari 35. Lipo umbali wa km 4 kutoka barabara kuu itokayo Bagamoyo -Msata. Limepandwa mitiki na miembe Bei ni Tsh milion 1.2 @ ekari contact: 0765 178 494
Shamba linauzwa lipo katika Kijiji cha Mtakuja-Kiwangwa. Lina ukubwa wa Ekari 35. Lipo umbali wa km 4 kutoka barabara kuu itokayo Bagamoyo -Msata. Limepandwa mitiki na miembe Bei ni Tsh milion 1.2 @ ekari contact: 0765 178 494
Y Yaleyale JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 1,797 Reaction score 2,410 Feb 13, 2016 #2 Du, kwa bei hiyo kiwangwa ukiuza nami niite niuze la kwangu mkuu.