Shamba la ekari 3 linauzwa hapo kisarawe karibu tu na Dar Es Salaam, ekari zote 3 unapewa kwa milioni 4 tu na bei inapunguwa.
Mawasiliano: +255769142586 sms/call/whatsapp

Fadhili Ebu tupia picha na je ni distance gani kutoka gongo la mboto/buguruni hadi hapo? Miundombinu? Barabara zinapitika kwa mwaka mzima au ikinyesha mvua majanga? Umeme upo?