Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,668 Reaction score 167,609 Sep 22, 2015 #1 Eka moja ni milioni nne na nusu. kwa kuona maeneo piga 0717454455/ 0767454455
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,668 Reaction score 167,609 Sep 22, 2015 Thread starter #2 Shamba lipo km 48 kutoka ferry. Njia iendayo Buyuni kata ya Pemba Mnazi
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,669 Sep 22, 2015 #3 bei hujaweka
I ishiveti JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,019 Reaction score 519 Sep 22, 2015 #4 unatuwekea namba ya nini kama huwezi kupokea sim ni km ngapi toka feri mgooni
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,436 Sep 22, 2015 #5 Eka moja ni milioni moja na nusu. kwa kuona maeneo piga 0717454455/ 0767454455 Shamba lipo km 48 kutoka ferry. Njia iendayo Buyuni kata ya Pemba Mnazi
Eka moja ni milioni moja na nusu. kwa kuona maeneo piga 0717454455/ 0767454455 Shamba lipo km 48 kutoka ferry. Njia iendayo Buyuni kata ya Pemba Mnazi
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 685 Sep 22, 2015 #6 Bujibuji said: Eka moja ni milioni moja na nusu. kwa kuona maeneo piga 0717454455/ 0767454455 Click to expand... Mimi nina eka 3 hapa hapo kibungu lakini kwa bei hiyo unadanganya sasa hivI EKA kwa pale ni 3 mpaka 4 million
Bujibuji said: Eka moja ni milioni moja na nusu. kwa kuona maeneo piga 0717454455/ 0767454455 Click to expand... Mimi nina eka 3 hapa hapo kibungu lakini kwa bei hiyo unadanganya sasa hivI EKA kwa pale ni 3 mpaka 4 million
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,007 Reaction score 10,401 Sep 23, 2015 #7 Kachanchabuseta said: Mimi nina eka 3 hapa hapo kibungu lakini kwa bei hiyo unadanganya sasa hivI EKA kwa pale ni 3 mpaka 4 million Click to expand... Mkuu shida hazifanani,kuna watu wanamagari ya thamani ya 10m,ila kwa shida anauza kwa 6m
Kachanchabuseta said: Mimi nina eka 3 hapa hapo kibungu lakini kwa bei hiyo unadanganya sasa hivI EKA kwa pale ni 3 mpaka 4 million Click to expand... Mkuu shida hazifanani,kuna watu wanamagari ya thamani ya 10m,ila kwa shida anauza kwa 6m
BABU KIDUDE JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,587 Reaction score 918 Sep 23, 2015 #8 hapo sasa kazi kazi, km 48 mkuranga hiyooo
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,668 Reaction score 167,609 Sep 29, 2015 Thread starter #9 The Boss said: bei hujaweka Click to expand... milioni NNE na nusu kwa heka
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,520 Reaction score 6,921 Sep 29, 2015 #10 Bujibuji said: milioni NNE na nusu kwa heka Click to expand... Mkuu mbona unatuchanga sasa? Mara 1.5m mara 4.5m sasa tujue bei ipi? Wewe huoni kama unatengeneza mazingira ya ubabaishaji?
Bujibuji said: milioni NNE na nusu kwa heka Click to expand... Mkuu mbona unatuchanga sasa? Mara 1.5m mara 4.5m sasa tujue bei ipi? Wewe huoni kama unatengeneza mazingira ya ubabaishaji?