Shamba linauzwa Kibaha (Jamiaka)

sonashi

Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
44
Reaction score
10
Shamba lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa, lipo barabara ya kwenda Nyumbu / Msangani
lipo ndani ya miundombinu. kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba hii. +255 755 233 243
 
bei elekezi? waweza sema haipungui Tsh........ na haizidi Tsh.........
 
Bei inaanzia na 25,000,000/= ukiwa serious tuongee kwenye simu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…