Edwin171 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 460 Reaction score 578 Nov 30, 2015 #1 Shamba linauzwa mwanzo mgumu chanika lina ukubwa wa ekari tano,gari binafsi inafika mpaka shambani,bei ya kila ekari ni Tsh 2,500,000 maelewano pia yapo 0714621548
Shamba linauzwa mwanzo mgumu chanika lina ukubwa wa ekari tano,gari binafsi inafika mpaka shambani,bei ya kila ekari ni Tsh 2,500,000 maelewano pia yapo 0714621548
P Papa1 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2012 Posts 2,023 Reaction score 2,218 Nov 30, 2015 #2 Halina vimelea vya jipu?
B bdo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,811 Reaction score 2,430 Nov 30, 2015 #3 Mkuu mirija imekatwa - bei ni kubwa sana