MabaoFungaFunga
Member
- Jan 13, 2011
- 22
- 0
ni milion mia mbili tu.....................200,000,000
napita tu ila ni utabiri wa vijisenti tu
Shamba linauzwa kigamboni mbele ya KIBADA.after dar es salaam zooNdugu wana JF ,shamba la ukubwa wa ekali 2 linauzwa kigamboni mbele ya kibada ,maeneo ya MWASONGa.Gari linafika mpaka shambani kabisa.after Dar es salaam zoo.Bei nafuu kabisa,
KWA YEYOTE MWENYE NIA NA AMBAYE YUPO SERIOUS PLS WASILIANA NA namba hii
0682124124
M.fungafunga
Haya wakubwa ,heka 4 ndo zimebaki so far , ni 2.5 m kwa heka ,mwenye nia anaweza akaongea ,
Poleni na swahumu
Regards
m.funga funga
hamna chumvi wala sukari,wewe kama unataka kufurahisha jamii poa ,but am doing b'ness hapa,zilikuwa 10 heka ,zimeuzwa 6 ,mbili kuna mtu alitaka zisiuzwe atakuja ,muda umepita zimerudishwa ktk soko ,sasa ni 4 heka zipo ,siasa hipo wapi.?wewe ni senoir member kweli au junior???
M.funga funga