Shamba lenye Miti ya mbao linauzwa

gwivaha

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
47
Reaction score
17
bei ni million 20 zipo eka 10
Linauzwa pamoja na Ardhi
Miti iliyopandwa ni aina ya pine
Na INA umri Wa miaka 7

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na 0742188846
Napatikana mkoani NJOMBE

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
mkuu unauza ekari (ardhi plus miti) kwa millioni 2 tuu? okay kila la kheri

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Hii miti ni ya mbao kweli mkuu?Mbona imekonda sana?
 
Fafanua,hiyo million 10 ni kwa zote ekari ama?

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
mkuu unauza ekari (ardhi plus miti) kwa millioni 2 tuu? okay kila la kheri

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Ndio Ardhi+miti kwa eka tsh 2 milion

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Hii miti ni ya mbao kweli mkuu?Mbona imekonda sana?
Hii Miti haijatimia kuvuna, INA miaka 7 tu na ili uvune walau iwe na miaka 10
Na hii ni miti ya mbao hakika

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…