merere sports
Member
- Jan 19, 2018
- 17
- 9
Nahitaji vifaa vya michezoShamba ni pori halijawahi kufyekwa, lipo bagamoyo, msata road kiwangwa kijiji cha Mwetemo. Shamba lina hati na pia lina ukubwa Wa ekari 24 na bei yake ni Tsh 12,000,0000. MAELEWANO YAPO. Kwa mawasiliano tupigie 0677875088
Ekari zote ni 12,000,000 au ekar moja?Shamba ni pori halijawahi kufyekwa, lipo bagamoyo, msata road kiwangwa kijiji cha Mwetemo. Shamba lina hati na pia lina ukubwa Wa ekari 24 na bei yake ni Tsh 12,000,0000. MAELEWANO YAPO. Kwa mawasiliano tupigie 0677875088
Ekari 24 Kwa Tsh 12,000,000
Last week niliitiwa shamba Msata kwa lina ekari 15 nilipoliona tu nikashangaa udogo wa size yake nilipochukua coordinates nikakuta ni ekari 6 tu!Ekari 24 Kwa Tsh 12,000,000
Ntafute 0677875088 tuongeebei haipungui koz vyuma vimekaza now
nitakuchek nikija maeneo hayo koz napasoma kimtindo...manda,lugalawa,ludewa, mlangali n.kNtafute 0677875088 tuongee