habari wadau ....nauza shamba lenye miti aina ya paini iliyo na miaka mitatu, shamba lina hekari moja na nusu. Miti imekubali vizuri liko Iringa.....bei ni Tsh/= milioni moja na laki tatu tu.....
Kwa mawasiliano
+255768181757 karibuni sana wadau.....