Lina ukubwa wa Ekari 5, lipo Kerege Manofu umbali wa kilomita 2 na nusu kutoka barabara kuu ya Bagamoyo. lipo kwenye hatua za awali za upimaji. Limepakana na shamba la Waziri wa Nishati. Umeme upo unawaka, maji karibia yatafika. Bei yake ni Tshs Milioni 40. Picha sina hapa , kwa walio na nia tafadhali piga namba 0756-595959