Kilometa 5 kuelekea Msata, ekati moja milioni moja laki mbili tu. Maongezi ruksa. Sasa kama unaogopa kupoteza 200/- kuuliza utaweza kweli kununua kwa mil. 36? Anyway mimi sio muuzaji, so ukimpigia mwambie namba umepata kwa dokta. Kila la kheri

Haya maelezo uliyoyatoa yanapunguza usumbufu maana nina hakika sio mimi pekee ambaye nimenufaika nayo hata wana JF wenzangu... Asante sana kwa taarifa.
yakhe kwa fujo sikuwezi ati! ushafuturu weye? mie siuzi mashamba bana ila nimekutana na wazee wanauza so kuwasaidia na kuwawekea bandiko lao hapa nalo ni tendo jema la kikristu. Na ndio mbiashara itakayoendelea hapo. Nina ratiba upande wa kitopeni kama baada ya wiki. Nikikuta mtu anauza shamba nitakujulisha tukikutana kuuuuuule kwenye jukwaa letu.