JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 766
- 562
Na tajiri akipata?Masikini akipata MATAKO hulia mbwata..................
He he he...sawa Masau Bwire.Maiti amepiga chafya
Pamoja Mkuu na shukran.Shairi zuri, umetumia furaha yako vizuri kuilezea kwa fasihi. Achana na wanatoa povu kavukavu kuelezea machungu yao
Kweli Mkuu, nilitamani ibaki kwa kiswahili tupu, ila baadae nikaona hiyo kauli ibaki hivyo.Shairi zuri sana mkuu, keep it up ila hapo kwenye 'this is Simba' ingekua 'hii ni Simba' kwa muktadha wa ushairi wa kiswahili
Shairi liko vizuri sana mkuu, vina, mizani, urari na hata uzito na maana ya maneno na ujumbe uliokusudiwa inaonyesha wee ni mshairi haswaaKweli Mkuu, nilitamani ibaki kwa kiswahili tupu, ila baadae nikaona hiyo kauli ibaki hivyo.
Shukran Mkuu kwa kongole hiyo.Shairi liko vizuri sana mkuu, vina, mizani, urari na hata uzito na maana ya maneno na ujumbe uliokusudiwa inaonyesha wee ni mshairi haswaa
Shukran Mkuu.Uko vizuri Sana, utunzi bora, umekamilika..
Na Mwenye macho yake hakuona...Kipofu kuona mwezi, udhani ndiyo dunia.
Oyoiii oyooooo ohooo lini simba watacheza Dom?Na Mwenye macho yake hakuona...
Kuna nini Doma kwani?Oyoiii oyooooo ohooo lini simba watacheza Dom?