JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 766
- 562
Amen.Aiseee
Mungu amuweke pahala pema
Picha za leaders vipi naona kimyaAmen.
Aiseee
Mungu amuweke pahala pema
Thibitisha hapa kwa kuuweka huo uchi wa marehemu, sio kupayuka tuUsimpangie mungu.. yeye ndo anajua atamuweka wapi yule marehemu aliyetumia maisha yake kuonyesha uchi wake na makalio yake mitandaoni
Thibitisha hapa kwa kuuweka huo uchi wa marehemu, sio kupayuka tu
Ujinga unao mwenyewe kwa kujifanya unajua sanaAcha ujinga
Usihukumu nawe utahukumiwa.Usimpangie mungu.. yeye ndo anajua atamuweka wapi yule marehemu aliyetumia maisha yake kuonyesha uchi wake na makalio yake mitandaoni
Usihukumu nawe utahukumiwa.
Umeongea as if ukipitia mtandaoni ndio utakutana na hayo, ili hali sio kweli.Nimemuhukumu nani
Kuna watu na viatu.Umeongea as if ukipitia mtandaoni ndio utakutana na hayo, ili hali sio kweli.
Dunia tunapita eeee, kila kitu kitabakia...kitabaki milele ni mulima.Can't believe leo tunatamka "marehemu Agnes Gerald"
Shukran kwa kongole hiyo.Vina na mizani safi
KaribuShukran kwa kongole hiyo.
Vina ndio vina mvuto.Shukran kwa kongole hiyo.