Mashairi yapo aina nyingi na yenye bahari nyingi, nachelea kusema umekariri lakini vema ungeuliza kama waona mushkeli badala ya kumtilia shaka mtunzi.Vigezo vya shairi wavijua lakini mkuu?
Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.Mashairi yapo aina nyingi na yenye bahari nyingi, nachelea kusema umekariri lakini vema ungeuliza kama waona mushkeli badala ya kumtilia shaka mtunzi.
nimechelewa kurudi huku..... nashukuru ndugu Dotto kwa kunisaidia kujibu , umenena vyema kabisa. asante sanaMashairi yapo aina nyingi na yenye bahari nyingi, nachelea kusema umekariri lakini vema ungeuliza kama waona mushkeli badala ya kumtilia shaka mtunzi.
Naomba unifundishe kutofautisha shairi na utenzi.ndio
ushairi na utenzi hauna tofauti yeyote bali utenzi ni mona kati ya muundo ama sifa katika mtindo au jinsi mshairi alivyoandika.Naomba unifundishe kutofautisha shairi na utenzi.
Mimi ni mwanafunzi wako.
Mkuu umeelea kwenye lugha kiasi kwamba imekuwa vigumu kumuelewesha msomaji mgeni wa ushairi, ingeleta maana kama ungetofautisha uhuru wa tungo na tungo ya kimapokeo yaani vina na mizani tujue umebobea wapi.ushairi na utenzi hauna tofauti yeyote bali utenzi ni mona kati ya muundo ama sifa katika mtindo au jinsi mshairi alivyoandika.
katika utenzi huwa tunafanya kipande kimoja katika mshororo.
na kwa kawaida wengi tumezoea vipande viwili katika mshororo vyenye mishororo minne.
na katika utunzi wa ushairi kuna mambo mengi sana na kulingana na mabadiliko ya kishairi,ushairi kwa sasa umegawanywa katika mafungu mawili.
moja ni mapokea na pili n huru.
yote hayakayakataliwi kwa kuwa kila mtu na uhuru wake katika utunzi na wala hakuna makosa.
makosa ni pale mtu anapoenda tofauti na aina yake ya utunzi.
mtunzi yupo sahihi kabisaaaaaaa.
Mapokeo ni aina zote za mashairi ambazo zinafata sheria zote za ushairi,kama vina na mizaniMkuu umeelea kwenye lugha kiasi kwamba imekuwa vigumu kumuelewesha msomaji mgeni wa ushairi, ingeleta maana kama ungetofautisha uhuru wa tungo na tungo ya kimapokeo yaani vina na mizani tujue umebobea wapi.
Hata hivyo nasubiri mchanganuo huo kwa faida ya wanajamvi mkuu.
Tutoke kwenye ushairi sababu huko mimi si mjuzi sana pamoja na kwamba najaribu kuungaunga beti.Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.
Sitakuambia maana kwa kuwa wewe na SIKIRI mna tabia zinafanana.
Utenzi unakufaa kiweka shairi utakufa.
Siyo nia yangu kukupinga, napenda kupata ufafanuzi kama ambavyo umekuwa ukifanya.Mapokeo ni aina zote za mashairi ambazo zinafata sheria zote za ushairi,kama vina na mizani
na mashairi huru ni yale yasofata sheria yoyote ya ushairi bali mtunzi anaweza kutunga kama anavyotaka.
Umefafanuliwa vizuri kuwa kuna mashairi ya namna mbili, ya kimapokeo na huru.Siyo nia yangu kukupinga, napenda kupata ufafanuzi kama ambavyo umekuwa ukifanya.
Nimefurahi kuona kuwa unajua kwamba mashairi yana sheria zake. Usipofuata hizo sheria unakuwa nje ya ushairi.
Mshairi Andanenga alipata kuandika shairi lisemalo "mcheza hawi kiwete, ngoma yataka matao"
Ili uweze kughani shuruti shairi liwe na mizani na vina.
mfano wa "mcheza" ni shairi na "matao" (matako) ni mizani na vina.
Sasa basi utanenguaje kwenye tungo iso vina wala mizani?
Au unakusudia mashairi ya bongo fleva???!!!
Siyo nia yangu kukupinga, napenda kupata ufafanuzi kama ambavyo umekuwa ukifanya.
Nimefurahi kuona kuwa unajua kwamba mashairi yana sheria zake. Usipofuata hizo sheria unakuwa nje ya ushairi.
Mshairi Andanenga alipata kuandika shairi lisemalo "mcheza hawi kiwete, ngoma yataka matao"
Ili uweze kughani shuruti shairi liwe na mizani na vina.
mfano wa "mcheza" ni shairi na "matao" (matako) ni mizani na vina.
Sasa basi utanenguaje kwenye tungo iso vina wala mizani?
Au unakusudia mashairi ya bongo fleva???!!!