Twende mbele na turud nyuma ,pamoja na mapungufu yote ya wachambuzi wetu na watangazaji ila ata uyu haji hayupo sawa ,haji anaweza kuanzisha ktu akawajbu wenzio anavyotaka akirudshiwa kwake mwepes wa kulalamika na kuonekana anaonewa ajaanza leo ata alivyokua simba hana lugha nzur kwa watu akijibiwa anarud kutafuta huruma ya mashabik mfano kama apo ,nan alienza kuongea lugha ya ovyo,tukumbuke shaffih ni mwandishi ,mchambuzi na mtangazaji anafanya kazi yake ya kuripot ,kuandika na kutangaza habari au taarifa unamzuiaje mtu kufanya kaz yake kwa sababu tu haijakupenda kama amevunja sheria vyombo vipo akaripot haji ana tabia ya kupinga kila habar ambayo ipo tofaut na kusifia taasisi yake sasa mara nyng lugha anayotumia sio nzur akirudshiwa yeye ndio tatzo