Na mlivyo Majuha na Wanafiki hata hamjui kuwa Shaffih Dauda Kajuna ni Yanga SC lia lia ila huwa haendeshwi Kishabiki na Kinafiki katika Chambuzi zake.
Leo kwakuwa Kawashika pabaya na patamu pia kwa Kupiga kwenyewe penye Ukweli mtupu mnamchukia na Kumshambulia mbona Siku akiisema Simba SC huwa mnampamba na Kumsifia Mitandaoni?
Tulieni hivyo hivyo Dawa iwaingieni.