Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,567
- 46,529
Kwa kweli ni halali adhurumiwe tuu kwa uvaaji ule maana anaonekana bado mtoto na hawezi kunegoshiet chochote kuhusu fedha yake..lakini hili la kuvaa si la singano au kado pekee ni tatizo la kitaifa..hatujui kuvaa kipi katka tukio gani!!!
Tatizo wachezaji wa kibongo wengi wanatokea kwenye vijiwe vya bange hakuna mchezaji atakaelelewa kwenye academy kama wenzetu mbele eti anaenda kwenye tuzo au kikao muhimu avae kibangebange kama hawa kina singano,
Pili maisha wanayokulia niyakiswazi sana,kubasii??? Au hujui wanaopenda makubasi!
huyu singano naye kavaa kama chinga tu wa karume au mtaa wa kongo.... inaonesha hata akili yake haipo sawa. naanza kupata shida hata hii issue kuna watu wanamshika tu masikio hana lolote. ameshindwa kuvaa hata suruali akachomekea? hivi hawa wachezaji wetu ina maana hawajifunzi kabisa kwa wenzao wa nje? mbona mazuri hawajifunzi wanajikitika kwenye ya kijinga tu na kuvuta mibhangi? nguo gan hizo mtu anavaa.... anaonekana hayupo serious kabisa,
mimi nawapa tuzo hizo hawa wawili 1.plumj 2 barthez/au 1.bakari shime 2.ivo mapunda. kwasababu walistahili kuliko wengine .plumj ilipeka yanga raundi ya 3 kombe la shirikisho.asante.Kado machepele sana