The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,857
Ukistaajabu ya Kado utayaona ya Ramadhani Singano. Mlimuona Singano alivyovaa wakati ameenda kwwnye Kikao cha usulihishi kati yake na Simba,Sputanza na TFF?huyu ndio alinichefua kabisa na mpaka leo sijapata jawabu kwa jinsi alivyokuwa amevaa.

Hahahaha kwabi alivaaje mkuu??mi sijaona picha mkuu kama unayo embu iaplod hapa watu tucheke turefushee maishaa!!
Ramadhani Singano wanasema ni masikini, hana kitanda wala nguo nzuri za kuvaa. Nafikiri alivaa vile ili kudhibitisha kuwa kweli ni masikini.
Mkuu, picha ya Singano...... mi sijaona picha mkuu kama unayo embu iaplod hapa ....
Ukistaajabu ya Kado utayaona ya Ramadhani Singano. Mlimuona Singano alivyovaa wakati ameenda kwwnye Kikao cha usulihishi kati yake na Simba,Sputanza na TFF?huyu ndio alinichefua kabisa na mpaka leo sijapata jawabu kwa jinsi alivyokuwa amevaa.
Ukistaajabu ya Kado utayaona ya Ramadhani Singano. Mlimuona Singano alivyovaa wakati ameenda kwwnye Kikao cha usulihishi kati yake na Simba,Sputanza na TFF?huyu ndio alinichefua kabisa na mpaka leo sijapata jawabu kwa jinsi alivyokuwa amevaa.
Hahahaaaa hiio ndo Bongo Tz...
Ajabu lingine la Dunia ni kwamba Kocha bora wa mwaka anapewa ALIEINUSURU TIMU KUSHUKA DARAJA NA SIO ALIEIPA TIMU UBINGWA hahahahaha
Soka la bongo bhana.....uchuroo mtupu!!!
Sio kila kitu unaponda tu,sasa hapo kuna ajabu gani?lazima msimu wa 2013/14 wa uingereza kocha bora alikua wa crystal palace sababu aliitoa timu mkiani mpaka nafasi za kati sasa kisa wabongo wamefanya basi unaponda tu.
Inawezekana kocha aliyechukua ubingwa hakuwa na ufundi wowote zaidi ya kutegemea vipaji vya mchezaji mmoja mmoja kama vile mbio, kurusha mipira mirefu golini na kuvizia kufunga mabaoHahahaaaa hiio ndo Bongo Tz...