Ni pmHabari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi
N:B Asiyekunywa pombe
Asante mkuu maana kuna wengine wanaudhi
[emoji23] [emoji23] kumbe ni wwHuyo uliyem-quote alini-quote mimi. Sasa hofu yangu ni kama mimi ni mmojawapo waliokuudhi kwa kukuombea uwe single hadi mwaka mmoja uishe kisha nije mwenyewe kuleta posa??!!
Nia yangu ni njema kabisa...
Hajazaliwa mtu kwa ajili yako! Kwa hiyo hizo conditions zako Inabidi uzae mtoto asiye na Baba umjaze hayo unayotaka then... Kwani ingelikuwa kuna shule ya kuandaa watu katika jambo hilo ungepata Mama! otherwise kubaliana na uhalisia! No body is perfect 100%Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi
N:B Asiyekunywa pombe
Na wewe unampa conditions gani.. Mbona unajilegeza [emoji23] [emoji23] [emoji23]mm na vigezo vyote, kasoro dini tuu am Christian...
[emoji23] [emoji23] kumbe ni ww
ww ni muislaam, mbona unatoa vigezo viiiiingi namna iyo...Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye relationship na mwanaume naemuhitaji kwanza;
1.Awe mchamungu
2.awe mpole kiasi
3.awe tayari kupima
4.awe na elimu ya juu kidogo kuliko maana mm Nina diploma
5. Mrefu kiasi mweupe kiasi au maji ya kunde asiwe mweusi sana
6. Awe anajielewa Mwenye future, vision na awe na Kazi inayomwingizia kipato
7. Miaka 28-35
8. Awe tayari kutofanya mapenzi mpaka tufunge ndoa au mpaka nitakapojiridhisha kwamba yeah he deserves to be my future hubby.
Mwisho wa yote awe na mapenzi ya dhati na ambae atajifanya analeta janjajanja asijisumbue Kabisa ..
Sifa zangu mom
1. Maji ya kunde
2. Elimu diploma
3. Nimeajiliwa
4. Dini muislam
Pm kwa maelezo zaidi
N:B Asiyekunywa pombe
Kwa hao wanaume unao wasema wewe basi sio wote, japo Dini ya kiislamu kwa kitu kama hakiruhusiwi.Kama hanywi pombe sasa huyo ni mtoto ama mgonjwa....mwanaume wa ukweli lazima unywe vitu vigumu japo mara moja moja.
Swadakta, naimani atakuelewa kwa ushauri huo, japo nahisi alishapitia kipindi kigumu ktk mahusiano ikamfikia hatua ya kuja na matakwa yake badala ya Mwenyezi Mungu.ww ni muislaam, mbona unatoa vigezo viiiiingi namna iyo...
Ktk dini ya kiislaam mwanamke huolewa kwa vitu vinne yaan uzur wake,nasaba yake,dini yake,tabia
mwanamme huozeshwa kwa vitu 2..yaan tabia yake na dini yake..
n.b kama nmekosea mnisahihishe.
Mbona umetoa muongozo wako ili hali Mungu katoa mwongozo wake????
ok.. tusubir uko pm tunakuja.
Good pointHapana sishauri na sio hekima. JF ni tofauti na mitandao mingine, si kila anayetangaza hapa kashindikana la hasha! Hawa ni wanawake wanaojitambua
kuona sura ni jambo zur...ila ktk public kama hapa sio jambo jema labda umfuate pm akuoneshe..ila iwe siri yko usje ukaivujisha itakuwa sio ustaarabWeka sura mama that's first impression for a man to a woman!
uspanic miss charming wawezakosa mume...Hayo maswali unaniuliza mimi unamuuliza dadako?? Sio lazima utoe comment afu maswali ya utumbo utumbo tu, mxiuuu
anawaza mume mwenye vigezoMmmhhh....bibie una wiki tangu umejiunga JF . Unawaza nini?