Comi JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 3,328 Reaction score 958 Jun 5, 2012 #41 Shine said: Kwahiyo usalama wa taifa na polic kukaa kimya hawajitambui hee! Click to expand... wanajipanga ni jinsi gani ya kumwingia
Shine said: Kwahiyo usalama wa taifa na polic kukaa kimya hawajitambui hee! Click to expand... wanajipanga ni jinsi gani ya kumwingia
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Jun 5, 2012 #42 Ikulu ingejibu ningeshangaa sana! Good move Magogoni, angalau this time wameanza kupatia.
S sikujua moze Member Joined Nov 15, 2011 Posts 14 Reaction score 1 Jun 5, 2012 #43 Semeni mtakavyosema nyie magamba lema ndo mfalme wa arachunga na ndo atakayekomboa wananchi kwenye ili janga la chukua chako mapema lazima vipara viwaote kabla ya siku zenu
Semeni mtakavyosema nyie magamba lema ndo mfalme wa arachunga na ndo atakayekomboa wananchi kwenye ili janga la chukua chako mapema lazima vipara viwaote kabla ya siku zenu
CHEMPO JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 368 Reaction score 60 Jun 5, 2012 Thread starter #44 maundumula said: ikulu ingejibu ningeshangaa sana! Good move magogoni, angalau this time wameanza kupatia. Click to expand... si kujibu tu.ni kugwaya hata kumhoji kama walivyozoea
maundumula said: ikulu ingejibu ningeshangaa sana! Good move magogoni, angalau this time wameanza kupatia. Click to expand... si kujibu tu.ni kugwaya hata kumhoji kama walivyozoea